
Lyrics - Swahili
(Folk song from Tanzania)
Mwalimu wetu hapendi kelele,
anapenda nyimbo na vigelegele,
akivaa khanga inamsumbua
akivaa tenge mawingu ya mvua.
YouTube


(Folk song from Tanzania)
Mwalimu wetu hapendi kelele,
anapenda nyimbo na vigelegele,
akivaa khanga inamsumbua
akivaa tenge mawingu ya mvua.